Je, ulikuwa wapi ulipokuwa na kitabu hiki?

Hiki kitabu nilisoma mwaka 1986 Sisimba Shule ya Msingi.

ilikuwaje sarasa la pili, Mwalimu Benard, mama yake Edmund ndiye alikuwa mwalimu wetu wa darasa, je wewe ulikuwa wapi uliposoma kitabu hiki?


Dah kweli we wakishua SISIMBA?! Enzi hiyo ndo ilikuwa zaidi ya St Mary! Sisi wa Ruanda Nzovwe mlituona sawa na St Kayumba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…