Adolph Leonard
Member
- Oct 14, 2011
- 50
- 45
Swali la msingi sana, uwa vinakosea wakati mwengine, swali la kujiuliza imekuwaje kutumia kigezo cha ulimi kutokuwa na mfupa kuwa ndio sababu ya sisi kukosea matamshi?Ebu tuangalia kwanza viungo vya mwili vilivyo na mifupa je vinafanya sahihi au ? Je havikosei? Mfano Miguu, Mikono?
Tueleze mdau kwa faida ya wengi.Huo msemo una maana zaidi ya huo mfupa unaofikilia