hehehe sitachafua jamani labda akija Komredi Nyani Ngabu au Masanilo au Msanii na Yo Yo kama mnavyo jua yupo lock up anajiexpress taratiiibu.
hujambo Fidel?
hahahhahhahahhaha mbu umenimaliza kabisaaaaaaa!!!...na sie tuliotafutiwa na wazazi, rukhsa kuchangia?
hahhahaha yaleyale aliyoyasema kalizozele ushaanza kuharibu..................hehehe sitachafua jamani labda akija Komredi Nyani Ngabu au Masanilo au Msanii na Yo Yo kama mnavyo jua yupo lock up anajiexpress taratiiibu.
huyo Yo Yo nimemic zile "aisee arifu" zake, zinanikumbusha mbali sana!
......nilibali nimeduwaaa.