Je, Ulinzi Shirikishi ni suala la lazima?

Je, Ulinzi Shirikishi ni suala la lazima?

Swala mdogo

New Member
Joined
Nov 15, 2023
Posts
3
Reaction score
6
Ivi wadau ulinzi Shirikishi ni suala la kulipia kwa ulazima?

Maana mimi nilipo nimeajiri walinzi kutoka kwenye kampuni binafsi lakini kumekuwa na watu kutoka Serikali za Mitaa kunjlazimisha mimi kutoa pesa za ulinzi shirikishi wakati mimi tayari eneo langu lina walinzi saaa 24.

Wamenitembelea zaidi ya mara nne kila nikiwaelewesha bado wana rudia tena kuja katika eneo langu mpka imekua kero sasa. Mara ya mwisho walikuja na barua kabisa.

cff4045a-a59d-447a-b915-1bd0411b7af1.jpeg
 
Back
Top Bottom