glass amo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,645
- 4,330
Wakuu.
Natumai mnaendelea vyema.
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi hili suala la pesa. Hasa kwa mzazi je alishawahi kukuomba umkopeshe??
Kwa minajili ya kuja kukulipa baada ya muda.
Na ulipo mkopesha alikulipa???
Binafsi juzi alikuja mama akaniomba nimkopesh. Kia's cha pesa kua atanirudishia lakin nilimueleza wazi pesa niliyokua nayo kwa akiba Nina kaz nayo muhimu. Istoshe shida yake haikua ya lazima kua labda ana umwa/anadaiwa/au Hana chakula hapana yeye alitaka amsaidie rafiki yake atoke lumande kwa dhamana.
Baada ya kumpa zimepita siku mbili nikiwaza nikaona n Bora hata hiyo hela nisije kumdai. Maaana nitajiskia vibaya kuona ana nilipa.
Je kwa upande wako wew hii ime kaaje?