Hicho ndicho kinachotokea katika Jimbo la Gilgit-Baltistan la Pakistan ambalo ndiyo Jimbo pekee nchini pakistan lenye raia wengi ambao ni Washia. Kwa kifupi nchi ya Pakistan Raia wake wengi ni SUNN na Serikali ya Pakistan inaongozwa na sharia.
Kutokana na malalamiko ya muda mrefu ni kuwa sharia inayosimamiwa na serikali ya Pakistan, inatumiwa kukandamiza makundi madogo ya raia wake.
Tumesikia hivi karibuni ambavyo imetumiwa kuwaumiza Wakristo mpaka makanisa na biblia zao zilizomo kanisani vilichomwa moto. Wakristo ni kundi dogo sana na marazote kiliochao hakisikiki.
Hata hivyo, SHIA hawajaepuka dhuluma inayofanywa na Majority SUNN. kwa sasa serikali ya Pakistan kwa shinikizo la SUNN imeongeza ukali wa sheria ya Blasphemy ambapo WASHIA wanasema hiyo imefanywa ili kuwakandamiza wao SHIA.
Jambo hilo limepelekea kuzuka vurugu na vitisho vya kujitenga kwa jimbo Gilgit-Baltistan. wanataka wajiunge na Republic of India; wanasema huko wanaona watatendewa haki.
My take kwenye huu mgogoro ni kuwa hapa duniani dhehebu la SUNN ndyo ni tishio la amani na wala siyo madhehebu mengine ya islam.
Iran inatekeleza sharia law, lakini inafanya hivyo kwa raia wake wote; pia iran wakristo ni kweli hawaruhusiwi kuwasilimisha waislam lakini huruhusiwa kusherehekea sikukuu zao, iko jamii ndogo ya Sunn, lakini husikii matatizo kama yanavyotokea pakistan. Iran vita yake ni Muisrael kama taifa.
Kule China wale Waislam wa Uyghur wa Xinjiang ni Sunni Muslims unasikia wanavyoleta shida kwa wachina; Indonesia na Nigeria vilevile ni Wasunn ambao wanaleta shida na kukosesha watu amani.
Labda Mwana wa Mfalme wa Saud Arabia ndiye atategua Kitendawili cha hawa watu kutukosesha Amani!!
Neymar ametinga Saudia akiwa amevaa Msalaba Mkubwa!! cha ajabu wenyewe Wasaudi hawaku mind ila Masalafist wa KISUNN nchi nyingine wamepiga kelele sana.
Mwenzenu anataka kutimiza Agenda yake ya Mapinduzi kiuchumi ya vision 2023 halafu mnataka kumzingua!!
View: https://www.youtube.com/watch?v=Q14b9p6G2hQ