Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Safi sana na ndo inavotakiwa japo kuna sehemu lazima uwe highSijawahi kuaibika sehem mbaya siku zote niko low-key huwa sina tabia za ujuaji au kupenda kuoekana kwenye crowd , yani hata niwe nafaham kitu na nione kuna mtu analeta ujuaji huwa simrekebishi na mimi namsikiliza alafu nafata mishe zangu
Nakua high kwa watu ambao ni marafiki zangu wa karibu au ndugu , au kama kilicho mbele yangu kina maslahi/madhara kwanguSafi sana na ndo inavotakiwa japo kuna sehemu lazima uwe high
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliaibika yess, mara nyingii.Wewe ulishawahi kuaibika mkuu katika mazingira hayo mabaya
Ulijichanganya vipi mkuu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliaibika yess, mara nyingii.
Daaah acha tyuu yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulijichanganya vipi mkuu..
Mbona umeanza na kucheka.
EbuDaaah acha tyuu yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebu
Tupe kidogo mkuu tufurahi hap kwa pamoja ahahah