Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
Je, ulishawahi kwenda na mwanamke gest au geto na kulipa gharama zote ikiwemo chumba, chakula, nauli n.k alafu akakataa kukupa penzi kama mlivyokubaliana?
Ulichukua hatua gani au utachukua hatua gani ukikutana na hali hii?
Ulichukua hatua gani au utachukua hatua gani ukikutana na hali hii?