Je, ulivyo sasa unaiishi ndoto yako?

Je, ulivyo sasa unaiishi ndoto yako?

kipanga85

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2024
Posts
2,459
Reaction score
6,466
Wengi tulipokuwa katika umri wa utoto tulikuwa na ndoto mbalimbali.

Je, maisha yako ya sasa yapo kama ndoto zako au yamekua kinyume na matarajio,
*share your experience

1720559512482.png
 
Ndoto yangu ni kulala na wanawake wengi sana kila umbo kila muonekano kila shape kila figure weusi weupe wembamba wanene matipwatipwa kuanzia mishangazi ya Mwaka 80, vitoto vya 2000 mpaka vitoto vya 2000 na 5 ni mpaka ntakaposema sasa basi imetosha hapo ni ntakapoona haina ladha tena utamu wote kwisha

Kiufupi bado nipo Ndotoni
 
Back
Top Bottom