Je ulizaliwa enzi za rais gani?

Kwendaa umvishe nani nepi mtu umezaliwa enzi za mkapa...wakati huo mimi nilikuwa na uwezo wa kukuzaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa endelea kusoma hiyo 97ikudanganye igeuze
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa endelea kusoma hiyo 97ikudanganye igeuze
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakyanani hivi kumbe kweli umezaliwa enzi za mkapa ujue nilikuwa najiongelea tu... Kuanzia leo niamkie aisee ole wako ubishe. Nilikuwa sijawahi kuiona daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…