Khaaah... Usiniaibishe ipo kwenye wasifu wangu ukizoom97 iko wapi? Ahaa ndio unaniambia Mwaka uliozaliwa sio? Aisee tunapishana na watoto wetu humu
Hahaa ndo nimeona aisee sikuwahi kuangaliaKhaaah... Usiniaibishe ipo kwenye wasifu wangu ukizoom
Hahaha..... Muulize espy nimemvisha nepi na kumbebeshwa mgongoni kipindi ananikojolea mgongoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakyanani hivi kumbe kweli umezaliwa enzi za mkapa ujue nilikuwa najiongelea tu... Kuanzia leo niamkie aisee ole wako ubishe. Nilikuwa sijawahi kuiona daah
MmmmhKumbe dada me na wewe tumezaliwa awamu hiyo ya baba wa taifa
We mtoto bado mm no 1 yaan nipo sawa na lemutuzMmmmh
Lakinii mie kidogo ningekuwa namba 2
We ntake radhi...We mtoto bado mm no 1 yaan nipo sawa na lemutuz
unamzaa huku unafuaKwendaa umvishe nani nepi mtu umezaliwa enzi za mkapa...wakati huo mimi nilikuwa na uwezo wa kukuzaa
Hahaa lol namzaa huku napika chapatiunamzaa huku unafua