Good lakini hii sio solution bora, solution ni ku deal na chanzo na sio matokeo, kama tunataka ku deal na chanzo basi wazazi lazima waboreshe malezi ya watoto hasa wa kike.View attachment 1761524
Jaribu kubaki mtulivu, usijibu hata ikiwa unatamani kufanya hivyo
Kulipiza kisasi hakutasuluhisha shida, bali itampa mtu majibu anayotafuta
Chukua 'Screenshot' ya hilo chapisho ulilochafuliwa, utaitumia kama uthibitisho ikiwa utakwenda kuripoti
Peleka screenshot kwa mganga fastaaa, Kuna radi Kama mia Saba mpyaaa, zinakuja na kimbunga kijacho jumapili.View attachment 1761524