Huwa sifikiri kama elimu yangu itanitoa mie....kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikiamini na kuweka ndoto zangu kwenye kipaji,...muziki ndo ndoto yangu kubwa na naamini itatimia,kuanzia october kaka Darius tegemea kusikia kazi zangu na hiyo ndo dream yangu kubwa
Bachelor of Veterinary Medicine (BVM) - SUA hiyo mazee, kozi ya ndoto yangu pamoja na ugumu wako nitakomaa na wewe mpaka kieleweke!! Huku nikimtanguliza MUNGU mbele yangu!!
Asante Mkuu ila usiniite dogo si ajabu mimi ni rika moja na kaka yako!! Mkuu msuli wa hiyo makitu inayoitwa BVM naufahamu angalau kwa uchache!! Hivyo nimekubali kujitoa muhanga!!safi sana,kuna my brother alisoma hyo kitu hapo sua,kamaliza mwaka 2004,leo ninavoandka hii post,ndo nimetoka kunyweshea maji kaghorofa kake ka pili alikokajenga hapa jijini arusha..hyo kitu nzuri sana dogo,kakaze 2 ingawa shule yake inahtaji kujitoa ufahamu kwa muda.over
mi binafsi nlipendelea accounts ingawa wamentupa statistics ila bdo ntatimiza dream yangu kwa kusomea cpa .....mzumbe pale
I lost direction
being an accountant was my dream and it is coming true nipo IFM pale bachelor of accounting
Asante Mkuu ila usiniite dogo si ajabu mimi ni rika moja na kaka yako!! Mkuu msuli wa hiyo makitu inayoitwa BVM naufahamu angalau kwa uchache!! Hivyo nimekubali kujitoa muhanga!!