Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Nadhani mada inaeleweka. Mazungumzo yanaendelea kwa wiki kadhaa sasa, tangu yaanze. Nadhani ni busara kuweka mipango juu ya vitu vitarajiavyo.
Ni matumaini ya Watanzania wengi (kama tulivyoaminishwa na viongozi wetu wakuu) kupewa Noah mara baada ya haya Mazungumzo, maana kwa nondo (data) tulizonazo, hawa jamaa (BARRICK) hawachomoki.
Tushirikishane jinsi ya kutumia vyema Noah zetu pendwa.🙂😀