Je, umejipanga kutumiaje Noah baada ya ACACIA (Kupitia BARRICK) kutulipa Trillion zetu?

Sang'udi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
9,138
Reaction score
22,236
Nadhani mada inaeleweka. Mazungumzo yanaendelea kwa wiki kadhaa sasa, tangu yaanze. Nadhani ni busara kuweka mipango juu ya vitu vitarajiavyo.

Ni matumaini ya Watanzania wengi (kama tulivyoaminishwa na viongozi wetu wakuu) kupewa Noah mara baada ya haya Mazungumzo, maana kwa nondo (data) tulizonazo, hawa jamaa (BARRICK) hawachomoki.

Tushirikishane jinsi ya kutumia vyema Noah zetu pendwa.🙂😀
 
Wewe ni mpumbavu, najivunia kukuita hivyo, kauli yangu itajitengua yenyewe kitu hii nikiikuta imehamishiwa jukwaa la jokes!
 
akha! wakigawa itakuwa mbaya.. hebu fikiri hizo pesa/gari wagaiwe watu wote tz mtapata wapi ma house girl & boys vibarua n.k wkt wote wanamihela ha ha ha! angamizi
 
Wewe ni mpumbavu, najivunia kukuita hivyo, kauli yangu itajitengua yenyewe kitu hii nikiikuta imehamishiwa jukwaa la jokes!
inamaana hutaki Noah? au viongozi wa CCM wametuingiza mjini.
 
Kila mtu atakua nayo ya kwangu ninapeleka Mozambique ikawe taxi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…