Je, Umekuwa ukitamani kupata 'a good looking body?'

patrickkkkky

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
468
Reaction score
286
Nilipata matatizo kama miezi 6 iliyopita stress zote nikazihamisha kwenye chakula. Nimeongezeka uzito na mwili ambao kuupata kwa muda mrefu gym unaanza kupotea, nimepata likizo nataka kufanya a serious body transformation ndani ya mwezi mmoja.

Dhumuni la kuja hapa jukwaani ni kutafuta 'fitness support' kutoka kwa watu wenye lengo kama langu (both gender) kwani kupunguza uzito ni vita kali sana. Company yangu hawana hizo interest sana sana nitaalikwa kwenye vikao vya mbuzi na bia.

ANGALIZO: Strictly fitness discussions.


It's never too late
 

Attachments

  • IMG_20160903_182027.JPG
    20.1 KB · Views: 50
  • IMG_20160903_182013.JPG
    16.7 KB · Views: 84
Mie mwili wangu kuupunguza ni rahisi mnooo, nisipopata tu msosi mwili kwaheri, shortcut yake napata balantine glass kadhaa, apetite inakata mbili bye bye..... Mazoezi yamenishinda naona siwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…