Wakuu,
(Huu waweza kuwa ni mwendelezo)
Katika maisha tunakuwa ndoto na malengo ya kuwa tukifikia UMRI/kipindi fulani tuwanie fani/taaluma/kazi fulani.
Ndoto hizi huwepo hasa tukiwa wadogo au tuwapo shuleni/vyuoni.
Je,
1. Hapo ulipo umebahatika kufikia ndoto yako (katika fani gani)?
2. Umewezaje (ni kwa jitihada zako au msaada wa ndugu)?
3. (Kama hujafikia) bado unapafanya jitihada kuzifikia au umeamua kuishi nje ya hayo malengo?
Kwa upande wangu bado.
Karibuni wakuu.