Vipi kwa nyumba zenye purukushani za watoto, glasi kwenye kingo ya meza sekunde chache si itapasuliwa?Kona kama "Ukingo" (Edge): Mara nyingi watu wanapotumia neno "kona" kwenye kitu cha duara, wanamaanisha ukingoni kabisa mwa ile meza. Kwa hiyo, ukiweka glasi pembezoni kabisa mwa meza (bila kuiangusha), utakuwa umetekeleza muktadha wa amri hiyo.
"Naachilia utupu huu "5. Unapopata kile ulichokuwa unakitafuta, inua glasi, iweke sawa (upande wa kulia juu) na useme:
"Kile kilichopotea kimerudi. Naachilia utupu huu na kuurejesha kwenye ulimwengu... Asante. zoezi limekamilika kwa ukamilifu😎
Labda uzee coz nilikua sober 😅😅😅Na hii hali inawapata Sana walevi na wazee😀🙌🏿🏃🏿View attachment 3684833
Aisee weee bwana umenichekesha ujue."Naachilia utupu huu "
Mara paaap nyeti zinapotea.......🤔
CC: Evelyn SaltNimeogopa sana, utupu🤔