Je umepoteza tumaini la KUISHI na unaona maisha kama hayana maana tena kwako?

Je umepoteza tumaini la KUISHI na unaona maisha kama hayana maana tena kwako?

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Angalia SOUL (NAFSI) cartoon iliyowekwa maneno ya kiswahili na DJ MACK.

Hii kwangu imekuwa kama tiba na kunifanya nijione mwenye thamani katika hii dunia.

Kabla nilijuona ni mtu nisiye na thamani yeyote ile mpaka kutamani heri nife.

Ila kwa kutazama SOUL CARTOON imenirejeshea amani na furaha upya.

Ndugu tafuta hilo MOVE alafu njoo urete mrejesho.
Zingatia sana iwe imetafsiriwa na DJ MACK kama kiingereza kwako mtihani kama mimi
 
Soul ya yule mwalimu wa music alie kuwa na ndoto za kutumbwiza na yule mwanadada..??
 
Soul ya yule mwalimu wa music alie kuwa na ndoto za kutumbwiza na yule mwanadada..??
Wakati yupo njiani anarudi kuonana na yule mdada mwanamuziki staring wetu ambaye ndiye mimi akapoteza maisha akiwa njiani.
 
Wakati yupo njiani anarudi kuonana na yule mdada mwanamuziki staring wetu ambaye ndiye mimi akapoteza maisha akiwa njiani.
😅duuh nimeingalia ni nzuri ila sizani kama inaweza mrudishia tumaini mtu ambaye amekata tamaa kabisa mana vitu vingi pai le havina uhalisi ni vya kufikiri tu
 
Back
Top Bottom