Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Yesssss.Soul ya yule mwalimu wa music alie kuwa na ndoto za kutumbwiza na yule mwanadada..??
Wakati yupo njiani anarudi kuonana na yule mdada mwanamuziki staring wetu ambaye ndiye mimi akapoteza maisha akiwa njiani.Soul ya yule mwalimu wa music alie kuwa na ndoto za kutumbwiza na yule mwanadada..??
😅duuh nimeingalia ni nzuri ila sizani kama inaweza mrudishia tumaini mtu ambaye amekata tamaa kabisa mana vitu vingi pai le havina uhalisi ni vya kufikiri tuWakati yupo njiani anarudi kuonana na yule mdada mwanamuziki staring wetu ambaye ndiye mimi akapoteza maisha akiwa njiani.
Mhh😅duuh nimeingalia ni nzuri ila sizani kama inaweza mrudishia tumaini mtu ambaye amekata tamaa kabisa mana vitu vingi pai le havina uhalisi ni vya kufikiri tu