Je, umeshapata kitambulisho cha Taifa?

Je, umeshapata kitambulisho cha Taifa?

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Ni muhimu sana kuwa na kitambulisho cha Taifa, na ukishakipata kitunze vizuri kisifike katika mazingira yenye uharibifu.

Je, umepata kitambulisho cha Taifa?
IMG_20240716_073658_000.jpg
 
H
Ni muhimu sana kuwa na kitambulisho cha Taifa, na ukishakipata kitunze vizuri kisifike katika mazingira yenye uharibifu.

Je, umepata kitambulisho cha Taifa?
View attachment 3050365
Baadhi ya ivi vitambulisho vilikuwa na dosari katika kuprint serikali imeagiza wananchi walioyo kumbana na hii changamoto wavirudishe na watapewa OG
 
Attachments

  • IMG-20240723-WA0003~2.jpg
    IMG-20240723-WA0003~2.jpg
    32.4 KB · Views: 4
H

Baadhi ya ivi vitambulisho vilikuwa na dosari katika kuprint serikali imeagiza wananchi walioyo kumbana na hii changamoto wavirudishe na watapewa OG
Zaidi ya miaka 3 tumefanya kazi ya kufuatilia vitambulisho na unakuja kukipata hakina ubora, halafu saiv watuambie tukavirudishe tena. Nonsense.
 
Mwaka wa saba huu nafatilia kitambulusho, hadi nimechoka kwakweli sijui niende wapi
 
Back
Top Bottom