Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
bora usiwe nacho kama ni hiviNi muhimu sana kuwa na kitambulisho cha Taifa, na ukishakipata kitunze vizuri kisifike katika mazingira yenye uharibifu.
Je, umepata kitambulisho cha Taifa?
View attachment 3050365
Baadhi ya ivi vitambulisho vilikuwa na dosari katika kuprint serikali imeagiza wananchi walioyo kumbana na hii changamoto wavirudishe na watapewa OGNi muhimu sana kuwa na kitambulisho cha Taifa, na ukishakipata kitunze vizuri kisifike katika mazingira yenye uharibifu.
Je, umepata kitambulisho cha Taifa?
View attachment 3050365
Zaidi ya miaka 3 tumefanya kazi ya kufuatilia vitambulisho na unakuja kukipata hakina ubora, halafu saiv watuambie tukavirudishe tena. Nonsense.H
Baadhi ya ivi vitambulisho vilikuwa na dosari katika kuprint serikali imeagiza wananchi walioyo kumbana na hii changamoto wavirudishe na watapewa OG
Barkhasheikh umesahauMimi wakati napiga picha nilikuwa nimevaa Polo tshirt ya JamiiForums