Je umeshasikia kitu inaitwa COBWEB, rada za wachawi kwa asiye na hatia

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Je, katika maisha yako uliwahi kuona katika pitapita zako unakutana na kitu kama utando wa buibui usoni au kichwani!

tmp-cam--522842250.jpg

tmp-cam-118522599.jpg
 
I was not a biliever in External forces but as of now I do Believe. Mungu yupo.
 
Ule ni utando wa buibui wadogo,huwa unakuwa mrefu kutokana na mishe zake kuhitaji eneo kubwa,hivyo ukikutana na hiyo web we futa uendelee na mambo yako,Na mnakuwaje na roho mbaya hivi?yaani muharibu miundombinu ya mwenzenu kisha tena munamtuhumu uchawi,wakati nyie ndio wachawi wenyewe
 
Even me,I won't trust this but the way things goes,i just first want to know it in deep,throgh books avail.
 
Ha ha ha...
 
Even me,I won't trust this but the way things goes,i just first want to know it in deep,throgh books avail.

am not sure whether I have understood this. do you mean you want to read book for you to believe in what you have written?
 
Mnatuaminisha Sana uchawi, tutaogopa hata vivuli vyetu!
 
am not sure whether I have understood this. do you mean you want to read book for you to believe in what you have written?
am not sure whether I have understood this. do you mean you want to read book for you to believe in what you have written?
Hakuna ambacho hakijaandikwa katika vitabu,kinachofanyika kwa Sasa ni kukopi tu,hata waganga wanavitabu book as book.
 
Huwezi kumuelewa huyu jamaa hadi uwe mtu wa kiroho ....
Hawa wengine wanajibu tu Kwa sababu fahamu zao zimetiwa giza
 
Back
Top Bottom