M Mkombozi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 844 Reaction score 476 Jan 14, 2013 #1 Je ni wangapi humu JF wameshatoa maoni yao ya katiba mpya?Kwenda kwa tume moja kwa moja,njia ya mkusanyiko wa hadhara,kwa maandishi n.k.Nyoosha mkono useme mimi ni tayari,usiseme uongo.Kama bado usije ukalalamika kwa chochote huko baadae
Je ni wangapi humu JF wameshatoa maoni yao ya katiba mpya?Kwenda kwa tume moja kwa moja,njia ya mkusanyiko wa hadhara,kwa maandishi n.k.Nyoosha mkono useme mimi ni tayari,usiseme uongo.Kama bado usije ukalalamika kwa chochote huko baadae
P paison Member Joined Mar 31, 2010 Posts 23 Reaction score 2 Jan 14, 2013 #2 Mimi bado,kila wakipita ni siku ya kazi,ila natamani.