Je, umeshawahi kufumania au kufumaniwa? Ilikuwaje? Msala uliusovu vipi?

Je, umeshawahi kufumania au kufumaniwa? Ilikuwaje? Msala uliusovu vipi?

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
2,187
Reaction score
2,794
Kwema humu?

Leo naomba tushee experience kuhusu huu mchongo mzima wa kubananishwa kwenye kanyampasila a.k.a kufumania au kufumaniwa. Ilikuwaje?

Ngoma iliishaje?
 
Kwema humu? Leo naomba tushee experience kuhusu huu mchongo mzima wa kubananishwa kwenye kanyampasila a.k.a kufumania au kufumaniwa. Ilikuwaje? Ngoma iliishaje?
Kuko kufumaniwa kwingi tu:
1. Kufumwa live kitandani

2. Kifumaniwa sms kwenye simu (WhatsApp na mitandao mingine)

3. Kufumaniwa ndo unamtongoza huyo manzi.

N.k

Hebu eleza aina ya FUMANIZI lililokutokea maana aisifuye mvua . . . . na KUIMBA KUPOKEZANA
 
Niligonganisha mademu maksudi kabisa Ili nione mpambano

Ila pesa ni Kila kitu japo saivi nimefilisika ila nilisumbua kwa kiasi
 
Back
Top Bottom