gonamwitu JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 2,187 Reaction score 2,794 Sep 30, 2024 #1 Kwema humu? Leo naomba tushee experience kuhusu huu mchongo mzima wa kubananishwa kwenye kanyampasila a.k.a kufumania au kufumaniwa. Ilikuwaje? Ngoma iliishaje?
Kwema humu? Leo naomba tushee experience kuhusu huu mchongo mzima wa kubananishwa kwenye kanyampasila a.k.a kufumania au kufumaniwa. Ilikuwaje? Ngoma iliishaje?
YONASHA JF-Expert Member Joined Oct 17, 2018 Posts 504 Reaction score 1,167 Sep 30, 2024 #2 Weka experience yako kwanza, Huwezi kwenda kwa jirani bila kutokea kwako,.😎
kip-korir JF-Expert Member Joined Sep 5, 2023 Posts 275 Reaction score 467 Oct 1, 2024 #3 gonamwitu said: Kwema humu? Leo naomba tushee experience kuhusu huu mchongo mzima wa kubananishwa kwenye kanyampasila a.k.a kufumania au kufumaniwa. Ilikuwaje? Ngoma iliishaje? Click to expand... Kuko kufumaniwa kwingi tu: 1. Kufumwa live kitandani 2. Kifumaniwa sms kwenye simu (WhatsApp na mitandao mingine) 3. Kufumaniwa ndo unamtongoza huyo manzi. N.k Hebu eleza aina ya FUMANIZI lililokutokea maana aisifuye mvua . . . . na KUIMBA KUPOKEZANA
gonamwitu said: Kwema humu? Leo naomba tushee experience kuhusu huu mchongo mzima wa kubananishwa kwenye kanyampasila a.k.a kufumania au kufumaniwa. Ilikuwaje? Ngoma iliishaje? Click to expand... Kuko kufumaniwa kwingi tu: 1. Kufumwa live kitandani 2. Kifumaniwa sms kwenye simu (WhatsApp na mitandao mingine) 3. Kufumaniwa ndo unamtongoza huyo manzi. N.k Hebu eleza aina ya FUMANIZI lililokutokea maana aisifuye mvua . . . . na KUIMBA KUPOKEZANA
Escobber pablo JF-Expert Member Joined Jun 17, 2024 Posts 302 Reaction score 695 Oct 1, 2024 #4 Niligonganisha mademu maksudi kabisa Ili nione mpambano Ila pesa ni Kila kitu japo saivi nimefilisika ila nilisumbua kwa kiasi
Niligonganisha mademu maksudi kabisa Ili nione mpambano Ila pesa ni Kila kitu japo saivi nimefilisika ila nilisumbua kwa kiasi