......daaah nimefungua haraka Uzi, nikajua kuna madini yanayohusu mfanano wa tabia mlizonazo matajiri ili nijifunze hata mawili matatu, Sasa kumbe matajiri mna sura zenu....... .............Btw nikupongeze kwa kuwa miongoni mwa matajiri, maana hiyo ni ndoto ya kila mtu nikiwemo mimi pia, jitahidi kumantain na kukuukuza utajiri wako wanao waje kuwa warithi......