Je, umeshawahi kupata mchongo mzuri wa kukuinua kimaisha ila tamaa zako zikakuharibia?

Je, umeshawahi kupata mchongo mzuri wa kukuinua kimaisha ila tamaa zako zikakuharibia?

Joined
Mar 9, 2023
Posts
48
Reaction score
61
Rejea mada tajwa hapo juu, nia ni vijana kujifunza ni jinsi gani tamaa zetu binafsi zinapoteza uaminifu wetu kwa wengine na vile zinarudisha maisha yetu nyuma.

Karibuni.
 
Rejea mada tajwa hapo juu, nia ni vijana kujifunza ni jinsi gani tamaa zetu binafsi zinapoteza uaminifu wetu kwa wengine na vile zinarudisha maisha yetu nyuma.

Karibuni.

mimi nimewai kupata mchongo ila tamaa hazikuniharibia na nikafanikiwa kupiga hatua, ukituliza akili na kuacha tamaa kijana maisha yanaenda vizuri.
 
I am very ambitious na tamaa zinaniaribia kila siku. Ingewezekana leo ningekuwa mbali ila bado niko nyuma kwa sababu ya tamaa. Ushauri shinda tamaa kwani tamaa ni mbaya. .
 
Rejea mada tajwa hapo juu, nia ni vijana kujifunza ni jinsi gani tamaa zetu binafsi zinapoteza uaminifu wetu kwa wengine na vile zinarudisha maisha yetu nyuma.

Karibuni.

Nyie mnaoanzisha thread kama hizi hua mnatukosea sana mmekua mnakurupuka kutuuliza bila hata nyie kuhusika na hicho mnachouliza, weka wewe kwanza kisa chako na sisi tutiririke kama mimi nina mengi ila siwezi kuyashusha hapa kama wewe umeuliza alafu unakaa pembeni.
 
Mimi naombeni hiyo michongo na mimi nipige hatua
 
Back
Top Bottom