Rejea mada tajwa hapo juu, nia ni vijana kujifunza ni jinsi gani tamaa zetu binafsi zinapoteza uaminifu wetu kwa wengine na vile zinarudisha maisha yetu nyuma.

I am very ambitious na tamaa zinaniaribia kila siku. Ingewezekana leo ningekuwa mbali ila bado niko nyuma kwa sababu ya tamaa. Ushauri shinda tamaa kwani tamaa ni mbaya. .
Rejea mada tajwa hapo juu, nia ni vijana kujifunza ni jinsi gani tamaa zetu binafsi zinapoteza uaminifu wetu kwa wengine na vile zinarudisha maisha yetu nyuma.
Nyie mnaoanzisha thread kama hizi hua mnatukosea sana mmekua mnakurupuka kutuuliza bila hata nyie kuhusika na hicho mnachouliza, weka wewe kwanza kisa chako na sisi tutiririke kama mimi nina mengi ila siwezi kuyashusha hapa kama wewe umeuliza alafu unakaa pembeni.