Mh! Ubora wa mwanaume unapimwa kwa pesa alizonazo?Mimi nimewahi kupiga chini siku ya Valentine,nilipata mwanaume bora zaidimwenye hela zaidi) na akaamua kunionyesha siku hiyo kuwa ananipenda,nami nikampiga chini yoyo niliyekuwa naye,sijawahi jutia!
Mh! Ubora wa mwanaume unapimwa kwa pesa alizonazo?
mimi nimewahi kupiga chini siku ya valentine,nilipata mwanaume bora zaidimwenye hela zaidi) na akaamua kunionyesha siku hiyo kuwa ananipenda,nami nikampiga chini yoyo niliyekuwa naye,sijawahi jutia!
Mh! Ubora wa mwanaume unapimwa kwa pesa alizonazo?
Mmmhh, yawezekana Murefu na D ndo mlopigana chini ila hamjajuana tu!!! Anyway for me love lives always not only on valentine day.... Ni wazo zuri, kwani mtakuwa mnafarijiana wenyewe kwa wenyewe jamvini!!!:coffee:
oh yes!
gold digger....
sucks to be you...
sucks to have a poor man like you!