yamesha nikuta miaka 8 sasa na tangu kipindi hicho sijawahi kusheherekea siku ya valentine.... nilikuwa na mpenzi wangu tulipendana sana zaid ya miaka 5 tukiwa wapenzi na ndie aliekuwa mume wangu mtarajiwa tangu kipindi hicho hadi leo sitamani tena kuchumbiwa wala kuolewa nimewachukia wanaume
Mimi nimewahi kupiga chini siku ya Valentine,nilipata mwanaume bora zaidimwenye hela zaidi) na akaamua kunionyesha siku hiyo kuwa ananipenda,nami nikampiga chini yoyo niliyekuwa naye,sijawahi jutia!

Pole sana Borntown. maisha yanaendelea, si wanaume wote ni wabaya, wengine are very lovely, nakuombea kwa Mungu akuponye na maumivu hayo.yamesha nikuta miaka 8 sasa na tangu kipindi hicho sijawahi kusheherekea siku ya valentine.... nilikuwa na mpenzi wangu tulipendana sana zaid ya miaka 5 tukiwa wapenzi na ndie aliekuwa mume wangu mtarajiwa tangu kipindi hicho hadi leo sitamani tena kuchumbiwa wala kuolewa nimewachukia wanaume
khaaa.! M2 wangu hebu nitake RADHI mzaz yan hata kama umeshndwa kusoma hata PICHA mzaz doo! Ila flesh mm ni DUME
Mimi nimewahi kupiga chini siku ya Valentine,nilipata mwanaume bora zaidimwenye hela zaidi) na akaamua kunionyesha siku hiyo kuwa ananipenda,nami nikampiga chini yoyo niliyekuwa naye,sijawahi jutia!
Mmhh Hongera dada!!
mi nahoji hivi kumuacha mtu siku ya valentine ni kwanini? ni kupotosha maana au kuna nini? kwanini isiwe jana yake? au few days before? mi nashangaa sana nishawahi shuhudia watu wawili wa karibu yangu wakiachwa siku hii muhimu tena bila sababu kabisaaa. nini hasa naombeni msaada.