Je umeshawahi kutendwa VALENTINE?

I'l never ever trust a man even a dead one.wanaume baba yao mmoja,wanafanana kama machungwa ya kariakoo.nawachukia na siwapendi sana sana nawatumia ninapowahitaji ila kamwe sitafal kwenye trik zao milele.sijawahi kuwa na mpnz valentine yeyote zaid huwa nakuwa peke yangu nikijipa raha.ila huwa inauma kwan sehemu zote ninazokwenda wanakuwa wawili wawili. Ila afadhali hii kuliko hayo maumivu ya wavaa suruali
 
akutake radh ya nini?kwan kufananishwana mwanamke tusi?

eee... Yan ee... Haya sasa naona ninaweza kuvalishwa sket cku co nyng ninamkumbuka ma best MICHELLE aliniomba badilishe aravant nikakubal lakn bado 2uu ninalazmishwa kuwa huko cjui safu hii ninatatizo gan mm na kuwa mtoto wa kike haya vyovyote mtakavyosema poa 2uu ila mm ni DUME. Michelle where are u ma best
 

eti dah! Ila wangu hapo unapishana na mm kidogo ila wanawake nyny ndo washenz sana yan hv kwanini mnakuwa na roho za namna hyo mana hamridhiki hata mmewe nini hamlidhik yan mnaweza mkawa na wanaume miambil lakn kila atakae kufuata bado utasema ndio hv hamuon mnajishusha cv m2 wangu. Khs kuwachukia wanaume hyo co dawa dawa ni kuwapima m2 wangu ila kwa nyny wala hampmik take care
 

dawa ya wanaume ni kuwachakachua tu day ya valentine piga chini mlala hoi ibuka na mtu pesa bana........
eti love love no moey so mtaenda wapi valentn day kama sio kuchakazana tu.....piga chini faster akatafute saizi yake huko......:clap2:
 

Kula tano hiyo. Raha jipe mwenyewe na hakikisha kila siku kwako ni valentine full stop.
 

natamani niamini unachokisema.....
 

Mhandisi tafadhali ndugu, Kiswahili basi mimi napenda thread zako nizielewe vizuri maana nadhani wewe ni wa mfano kwa wake bora kama unayoyasemaga hapa JF ni ya kweli.
 

Nina mawazo kama ya kwako, kwa mtu asiye muaminifu anashindwa awe upande gani siku hiyo hivyo inambidi achague upande anaouona bora zaidi na kuacha maumivu upande mwingine.
 
Mhandisi tafadhali ndugu, Kiswahili basi mimi napenda thread zako nizielewe vizuri maana nadhani wewe ni wa mfano kwa wake bora kama unayoyasemaga hapa JF ni ya kweli.

Thanks jn,
Samahani sana ninasema tusisubirie siku moja kufanya tutakiwayo kufanya kwenye mapenzi kwani kila siku iwe valentine
Kwangu nimeonyesha kuendesha gari kurudi kulala nyumbani siku 2 kati ya 4 za workshop iliyokuwa Bagamoyo..ni ktk kusuprise tu na kufanya mwenzio ajue anathaminiwa kwani mimi mara nyingi niko safarini so unapoweza kuwa na familia ni muhimu pia..
 
Jamani poleni wote mliotendwa. Mi sijawahi.
 
haya haya leo idad itaongezeka na kupungua
 

usifanye hivyo, nyanyuka pukuta vumbi endelea na safari, watu wanasema wanafanana hawa lakini sio kihivyo, tofauti ipo na utaiona
 

what a touching story........ But it cant be bought even for free.... And your name is first lady,,,, so to whom?
 

what a touching story........ But it cant be bought even for free.... And your name is first lady,,,, so to whom?
 
Thijawahi namtafuta wa kunipiga chini!!!
Pia mara nyingi nafurahia siku hii na my Family!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…