Je, umesikiliza wimbo wa Mr Kleb, Gwogwongwo (Remix)?

Je, umesikiliza wimbo wa Mr Kleb, Gwogwongwo (Remix)?

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Hii kama umeshasikiliza hii nyimbo vizuri, ni kama jamaa kaiba kwenye nyimbo zetu za zamani sana.

Sasa kila nikijaribu kuzivutia kumbukumbu hapa nashindwa kukumbuka zilikuwa ni nyimbo za nani na zilikuwa zinaitwaje hivyo kama kuna mwenye kukumbuka anikumbushe tafadhali.

 
Nimeona clip wanamtunza gela kisa trend ya hii nyimbo
 
Back
Top Bottom