kwa wale wote waliosumbuka sana kutafuta mali, wengine ikiwa ndio mwaka wao wa pili sasa..
Nataka nikufahamishe kuwa ili utajirike kuna mambo makuu matatu ya kuzingatia.
Mambo yenyewe hata mimi sijayafamahu bado [emoji19] [emoji19] [emoji19] we tuendelee tuu na umasikini wetu kwani hakuna namna[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji12]