Je, umetazama kipi Rais wa Uganda amefanya leo?

Je, umetazama kipi Rais wa Uganda amefanya leo?

Mchezaji

Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
42
Reaction score
38
Kumbuka huyu rais wao anasema ako na miaka 76, isipokua wataalamu na wanahabari wa kwao wanasema ashapitisha miaka thamanini, karibu anaingia mia.

 
Kwa hiyo wataalamu wanamjua zaidi kuliko yeye anavyojijua? wao ndo walimzaa?
 
Itakua ana matatizo ya akili huyu kwahiyo anayofanya sio akili zake bali ni uzee , anawafanya watu wapumbavu inamaana anataka kutuambia yeye na hayati B. Mkapa yeye mdogo!
 
Kwa hiyo wataalamu wanamjua zaidi kuliko yeye anavyojijua? wao ndo walimzaa?
Mkuu si wataalamu wanasoma historia tangu wakati alipojiunga na FRELIMO kupigania uhuru wa Mozambique, akarudi Dar akajiunga na jeshi la Tanzania wakachapa Amini na haiwezekani kuwa alikuwa wakati huo na miaka chini ya kumi na tano.
 
Mdogo wake ana miaka 78
cha kushangaza inasemekana mdogo wake huyo ndio aliekua kidato cha sita wakati yeye alikua chuo cha Dar na ndani ya msimamo wa FRELIMO Mozambique.

Je, hizo push-up arubaini ni yeye anazifanya binafsi ama usaidizi wa kifaranga(yani photoshop) ndio unatumika kutudanganya?
 
Back
Top Bottom