Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
Habari wana JF je ulivyokuwa mtoto ulikuwa na ndoto nyingi na kama ndio ni ndoto gani mpaka sasa umetimiza, binafsi mimi nilikuwa natamani kucheza mpira bado naendelea kucheza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado tunapambana mkuu😁😁😁ZAKO TAYARI..?😁
Hongera sana mkuu😂😂😂😂😂sema sijakupata tantra niniDah...nimetimiza kitambo sana...ndoto ilikuwa kumiliki kiti cha tantra 😍 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭
Hongera sana mkuu😂😂😂😂😂sema sijakupata tantra ninDah...nimetimiza kitambo sana...ndoto ilikuwa kumiliki kiti cha tantra 😍 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭
Ndio mkuu ujasiri na uvumilivu ni kitu muhimu sana nakutakia mafanikio kwenye malengo yako keep it upbado kiupande wangu najiona ndio kwanza nimeanza safari....hapa nimeinama nakaza kamba za viatu...maana nikiuangalia mlima uliopo mbele yangu ni mrefu lakini sipaswi kukata tamaa...nitapambana mpaka kieleweke...najipa moyo na ninazidi kutafuta...naamini ndani ya miaka mitano 5 ijayo nitakuwa kwenye nafasi tu nzuri...!
amka mkuu dunia inakusubili wakati ndo huuKwakweli me bado nipo usingizini siku nikushtuka nahis nitaanza kuzitimiza tu.
hongera sana mkuuNimetimiza ndio allhamdullah
keep it up and go for sucessI have a long way to go
Thankskeep it up and go for sucess
Dah........🤣🤣🤣🤣🤣Hongera sana mkuu😂😂😂😂😂sema sijakupata tantra nini