Je umetimiza ndoto zako?

Digging deeper

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
787
Reaction score
512
Habari wana JF je ulivyokuwa mtoto ulikuwa na ndoto nyingi na kama ndio ni ndoto gani mpaka sasa umetimiza, binafsi mimi nilikuwa natamani kucheza mpira bado naendelea kucheza.
 
Dah...nimetimiza kitambo sana...ndoto ilikuwa kumiliki kiti cha tantra 😍 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀭
 
bado kiupande wangu najiona ndio kwanza nimeanza safari....hapa nimeinama nakaza kamba za viatu...maana nikiuangalia mlima uliopo mbele yangu ni mrefu lakini sipaswi kukata tamaa...nitapambana mpaka kieleweke...najipa moyo na ninazidi kutafuta...naamini ndani ya miaka mitano 5 ijayo nitakuwa kwenye nafasi tu nzuri...!
 
Dah...nimetimiza kitambo sana...ndoto ilikuwa kumiliki kiti cha tantra 😍 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀭
Hongera sana mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sema sijakupata tantra nini
 
Dah...nimetimiza kitambo sana...ndoto ilikuwa kumiliki kiti cha tantra 😍 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀭
Hongera sana mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sema sijakupata tantra nin
Ndio mkuu ujasiri na uvumilivu ni kitu muhimu sana nakutakia mafanikio kwenye malengo yako keep it up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…