Je, umewahi fanya jambo gani la kutisha ulipopata hasira?

Hahahahaha, hongera lakini wakati mwingine tunapaswa kudhibiti hizi hasira zetu na kufanya rightful decisions, zinaweza kutunyima ugali mwisho wa siku
Ni kweli Mkuu, najua nilikosea kumkasirikia boss wangu lakini sikupendezwa na namna mtu mzima akafanyia kazi majungu

Kwenye maeneo yetu ya kutafuta ugali, tunapigana majungu mno, tena ukiwa hauna backups unaweza hata kupoteza kazi yako

Bahati yangu, nilikuwa ni mtendaji wa kazi sana

Kwahiyo kitendo cha kuondoka Kwa Siku 5 tayari pengo langu likaonekana, maana tulikuwa kwenye Mradi ambao ulikuwa na timeframe na wakubwa walikuwa wanautembelea almost Kila Mwezi
 
The much you can confront mkuu just confront, je, wewe uko salama na hiyo afya ya akili? Mbona naona kama una shida ya socialpath na you seem a good black sheep? okay hakuna haja ya kuvutana, congrats kwa afya ya akili.
ndio uvunje tv na simu ?if your happy, confident, hopeful and generally satisfied with life hapo kaa ukijua afya yako ya akili iko sawa. anyways pole sana
 
Mimi nilichoma nguo zangu za kazini nyingi (suti) baada ya kukwaruzana na mwenzangu.Wakawa wanasema itakuwa karogwa ,hasira hizo.Simu za ndugu na maombi kila siku.Kumbe mwenzao nilikuwa nawafanyia usanii baada ya kuzingua ,wangejua😀😀😀
 
Mr. Kapiga zake hela huko akaona anitunuku akaniandikia Cheque ya 10M, kuna kitu akaongea kikanikwaza nikaichana nikitegemea atanibembeleza bro ilikua 2023 mwezi wa 2 mpaka leo naikumbuka😂😂😂.

Aliniambia next time nijifunze kuthamini kitu na niache hasira za kipumbavu.
 
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
Mimi ex wangu alitaka kunipokonya simu aone nachat na nani usiku huo tumelala, nikakasirika nikamng'ata aisee alinipiga bao moja takatifu la usoni hadi nikaanza kuona maluweluwe, akanikunja na mikono kwa nyuma na mzigo sikumpa akaamua ajilie hapo😪😪
 
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…