Unajuwa yapo mambo hili Taifa asipo tokea mtu kama Jerry Rolling wa Ghana kamwe hatuto toka hapa tulipo.
Hivi umewahi kujiuliza bunge letu lina wabunge wanasheria wangapi na kile kina endelea kwa sasa?
Kiufupi bunge letu haliangalii aina ya mbunge ukiacha elimu yeyote mtu ako nayo na kujuwa kuongea na ukada unakuwa mbunge na ndio maana Spika ana wachezesha mpira sana pale bungeni ukitaka proof angalia pale Mdee akiongea na wabunge wengine wakiongea unaona kabisa mbunge amesimama kujikomba ila sio kuchambua kile kipo kwa mkataba Hii sio dalili nzuri na tusipo angalia hatuwezi songs mbele.
Hatuna elite bungeni.