Je, umewahi kumla rafiki wa EX wako?

Je, umewahi kumla rafiki wa EX wako?

Kijana acha ujinga bwana mbona mnamchelewesha huyo mrembo...sasambua hiyo papuchi fasta.
mkuu nataka kupata maoni, maana mtoto amesha jaa kabisa, ni mimi tu kula tunda basi.
 
usipende kulipiza, na wacha ZINAA....
hapana mkuu, kuachwa kunaumiza nataka kujipooza kidogo ila nawaza je uyu girl wangu atajiskiaje ingawaje nae sasaivi ameingina kwenye mahusiano mengine.
 
Habari za uzima maboss wangu wa humu ndani, naombeni kujua kwenye ili seke-seke, je umeshawai kuachana na girlfriend wako uliompenda sana (yaani ukaachwa), ukaona isiwe tabu, ukaamishia majeshi kwa rafiki yake ukaanza kumla rafiki yake vizuri sana, na je alipopata taarifa uwa unatoka na rafiki yake ilikuwaje? au uwa wanajiskiaje watoto wa kike anapogundua kuwa bwana ake alio muacha anatoka na rafiki yake kipenzi.

👇
Nimetoka kuachana na Girlfriend wangu, sasa kuna rafiki yake kipenzi kabisa anakuja less sana kwangu, nimeshampanga kabisa nataka kumtafuna tu ndio kilicho baki, je uyo rafiki yake (x-girlfriend wangu) akipata habari itakuwaje, ndio atanichukia mnooo au, naombeni ushauri wenu maana nimeona kama moto na iwe moto aiseee..

Note: (YEYE NDIO AMENIACHA AISEE SIO MIMI)/QUOTE]
Mi nimekula Mama wa ex wangu pale City style Mugabe jana kiroho safi
 
hapana mkuu, kuachwa kunaumiza nataka kujipooza kidogo ila nawaza je uyu girl wangu atajiskiaje ingawaje nae sasaivi ameingina kwenye mahusiano mengine.
haitakusaidia zaidi ya kuuchosha MOYO na MWILI na AKILI yako.......na huyu ex wako alishamwambia huyo mzinzi mwenzio,,,,una kiba100...she want to prove....be a MAN not a BOY...........#wacha zinaa#
 
haitakusaidia zaidi ya kuuchosha MOYO na MWILI na AKILI yako.......na huyu ex wako alishamwambia huyo mzinzi mwenzio,,,,una kiba100...she want to prove....be a MAN not a BOY...........#wacha zinaa#
mkuu hajamuambia chochote mkuu, am sure 100%
 
"...ikimbie zinaa na wala usiikaribie.." (Kama unaitambua hiyo verse iizingatie)
 
Usifanye kwa sifa dogo hayo mambo sio sifa, mimi ilitokea kwa bahati mbaya nilikuwa tungi siku ya kwanza tukajikuta tumekolea ila Mungu nisamehe ilinigharimu sana kwa familia yangu na.mahusiano na rafiki yangu
 
Back
Top Bottom