Je, umewahi kumla rafiki wa EX wako?

Kijana acha ujinga bwana mbona mnamchelewesha huyo mrembo...sasambua hiyo papuchi fasta.
mkuu nataka kupata maoni, maana mtoto amesha jaa kabisa, ni mimi tu kula tunda basi.
 
usipende kulipiza, na wacha ZINAA....
hapana mkuu, kuachwa kunaumiza nataka kujipooza kidogo ila nawaza je uyu girl wangu atajiskiaje ingawaje nae sasaivi ameingina kwenye mahusiano mengine.
 
hapana mkuu, kuachwa kunaumiza nataka kujipooza kidogo ila nawaza je uyu girl wangu atajiskiaje ingawaje nae sasaivi ameingina kwenye mahusiano mengine.
haitakusaidia zaidi ya kuuchosha MOYO na MWILI na AKILI yako.......na huyu ex wako alishamwambia huyo mzinzi mwenzio,,,,una kiba100...she want to prove....be a MAN not a BOY...........#wacha zinaa#
 
haitakusaidia zaidi ya kuuchosha MOYO na MWILI na AKILI yako.......na huyu ex wako alishamwambia huyo mzinzi mwenzio,,,,una kiba100...she want to prove....be a MAN not a BOY...........#wacha zinaa#
mkuu hajamuambia chochote mkuu, am sure 100%
 
"...ikimbie zinaa na wala usiikaribie.." (Kama unaitambua hiyo verse iizingatie)
 
Usifanye kwa sifa dogo hayo mambo sio sifa, mimi ilitokea kwa bahati mbaya nilikuwa tungi siku ya kwanza tukajikuta tumekolea ila Mungu nisamehe ilinigharimu sana kwa familia yangu na.mahusiano na rafiki yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…