Hiyo inawezekana kabisa.
Nyani jike wengi wanapenda Sana watoto.
Ikitokea hajampata au mgumba,
Basi atamchukua mnyama yeyote mchanga kwa nguvu atamlea Kama mwanae mpk ukubwani.
Nmeshuhudia DUBAI,
Kuna nyani wamekua kivutio kwa kuweza Kuishi pamoja na mbwa na paka.
Yaani nyani anamuiba Mtoto mchanga wa paka au mbwa Kisha anamlea.
Kama Ni mchanga Sana,
Anaingia mtaani majalalani anatafuta michuzi michuzi na maziwa yaliyotupwa ya kwenye box anakua anamnywesha.
Ikishindikana majike wengine wanaonyonyesha wanamsaidia kunyonyeshea kichanga hicho Cha mbwa/paka.
Maisha YANAENDELEA.
Mbwa na paka wAkiwa wakubwa wanakua sehemu ya familia.
Wanawasaidia Sana nyani kwenye maswala ya usalama.
Mbwa Ni majasiri Sana inapotokea uvamizi wa wanyama wengn Wakali.
HILO LA KUCHANGA CHA SIMBA, NALIFANANISHA NA LA VICHANGA VYA MBWA.
Sent using
Jamii Forums mobile app