Nimewahi kusingiziwa natembea na mume wa mtu ... NimesameheEver you forgiven anyone in your life? Kosa gani ulilofanyiwa hadi kulazimika kutoa msamaha, mfano; kutukanwa, kudanganywa, kuibiwa, kupigwa, kunyimwa haki, kusalitiwa kwenye penzi, .......!
How did you feel after forgiving someone?
Nawasilisha...!
Mmmhh hilo jina linatishaNimewahi kusingiziwa natembea na mume wa mtu ... Nimesamehe
najisikia vizuri kwa sababu yule mtu aliyezusha aliniomba msamaha.
Jina tu dada! Mcharuko kikwetu ni povu linalopatikanaMmmhh hilo jina linatisha
Ha ha ha ha nimeipenda hiyo aiseeJina tu dada! Mcharuko kikwetu ni povu linalopatikana
kwenye pombe hususani za kienyeji.
Kwanini usingiziwe?Nimewahi kusingiziwa natembea na mume wa mtu ... Nimesamehe
najisikia vizuri kwa sababu yule mtu aliyezusha aliniomba msamaha.
Ha ha haaaaa! wewe nawe unataka kulazimisha ionekane kuwa kuna ukweli?Kwanini usingiziwe?
Ulikuwa karibu na huyo mume wa mtu?
Mbona unaonekana wewe ni mcharuko?
Nimewahi kutekwa nikasamehe.am free
Nimewahi kutekwa nikasamehe.am free
Nimewahi kusingiziwa natembea na mume wa mtu ... Nimesamehe
najisikia vizuri kwa sababu yule mtu aliyezusha aliniomba msamaha.
Mmmhh hilo jina linatisha
Kwanini usingiziwe?
Ulikuwa karibu na huyo mume wa mtu?
Mbona unaonekana wewe ni mcharuko?
Mi huwa ninasamehe na kusahau, hivyo sina kumbukumbu yeyote..
mbona umeweza kukumbuka kuwa unasamehe na kusahau!