Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,828
- 3,508
Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote.
Aisee hii imenitokea Leo na imefanya nakosa usingizi Kwa mawazo. Nimepanga nyumba ambayo jumla tupo wapangaji 3. Wenzangu wote wopo mume na mke isipokua mimi.
Jirani mmoja nimese jirani namba 1 alimsimulia jirani namba 2 kwamba mimi jirani namba 3 ni mchawi, anadai mume wake alichungulia dirishan na kuniona nikiwanga chumbani kwangu usiku. Alisimuliwa miezi 7 tulikua tunachekeana na stori za hapa na pale siku zote lakini kumbe nishapigwa jungu mimi mchawi.!!
Natembea nao, nakula nao kumbe inside wasema tupo na mchawi, So sad.!!
Aisee sisi watu nimejifunza hatupo stable katika nafsi na roho, namaanisha mtu yeyote na muda wowote anaweza kugeuka adui yako huku akijifanya mtetezi na swahiba wako damu damu.!
Nimewaza sana labda nimekua mchawi bila kujifahamu lakini akili inagoma, mbona tangu nazaliwa mpaka sasa 34+ age sijawahi ambiwa mchawi na mtu yeyote maana saa nyingine ukiona watu zaidi ya 3 wanakuambia jambo lazima urudi nyumba ujitafakari, lkn kuhusiana na mimi kuwa mchawi sijawahi jihusisha hata Ile kwenda Kwa mganga sijawahi na hata mzazi alinizaa akiwa na Imani ya wakovu hivyo hajawi kunipeleka Kwa mganga wa kienyeji.
Kwa kweli nimetafakari sana, mwisho nimeishia kufurahi.
Sio Kila ukiambiwa jambo kumuhusu mtu flani na wewe ukalibeba kama lilivyo, aisee ongeza na akili zako usipende kushabikia umbea.
Je, wewe mwenzangu umewahi kusingiziwa jambo gani, maana naamini sipo peke yangu.!
Wakola.