sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mapolisi wasio na weledi wakiamua kuingia kwenye biashara zako huwa ni wakorofi sana na ni hatari sana.
Je uliwahi kukutana na usumbufu wao kwenye biashara yako.
Kuna muuza laptops flani yaliwahi kumkuta alipoanza kununua laptops kwa watu wanaohitaji kuziuza, siku ya siku akauziwa laptop iliyoibiwa, polisi wakaanza msako wakaikuta kwake, hakuwa na risiti ya hio laptop akashindwa kujitetea hata aliposema yeye kauziwa, kijana ilimtoka milioni 30 ili kujinasua, kiukweli alirudishwa nyuma sana na hii hali