sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kuna baadhi ya polisi ni majambazi wanaovaa uniform .Biashara ni play station.
Kutona na malalamiko ya wazazi ikawa natakiwa kufungua saa 10 jioni ila kufunga saa nne usiku. Hii inapelekea uwe na muda mdogo wa kufanya kazi hivyo huwezi pata pesa.
Nikaongea na mjumbe kwamba nifungue saa 8 mchana nikakubaliwa. Nikakamatwa kwakua nimefungua saa nane mchana.
Nikaja kukamatwa kwakua nipo wazi saa tano usiku.
Nikaja kukamatwa kwakua watu wamekaa karibu karibu wakati kuna corona. Nikamuuliza jamaa mbona Rais anasema hakuna corona akanijibu usiwafuatishe wanasiasa.
Nikakamatwa kwakua play station inasabisha kelele.
Nikakamatwa kwakua nitasababisha watoto wasiende shule.
Kisha siku hiyo nimeweka pesa chini ya playstation chumbani (nyumba za kupanga za vyumba vinatazamana) nimetoka nje naenda dukani narudi pesa hakuna. Waliokuepo wakasema maaskari wa mtambani walikua wanakimbiza wavuta bangi wale wavuta bangi wakaingia upande wa nyumba niliyopanga so askari waliingia room kwa room kuangalia watuhumiwa.
Nikaenda mtambani nikaambiwa nirudi siku mbili mbele siku nimerudi nikaambiwa wananiweka ndani kwakua natunza wahalifu. Ama nibaki au nipotee.
Nikakamatwa kwakua wamekuta washukiwa wa uhalifu wanacheza game.
Nikakamatwa kwakua sina leseni na muda huo nina kitambulisho cha ujasiriamali. Ishu ni kwamba TRA hawatoi license kwa ishu kama hii nilivyoonyesha id ya mjasiriamali nikajibiwa hivyo ni vya wanasiasa.
Huko kukamatwa kote hamna siku nimeandikwa kwenye daftari lao lile. In fact wakikukamata wanakuambia hakikisha una simu ili uwape taarifa ndugu zako.
Hawa wazunguka doria wa usiku wakikukuta una pesa hawakuachi.
dah, pole sana mkuu, biashara ya ps ukisoma mchanganuo wake inavutia sana lakini ukifungua sehemu yako yani ina changamoto sana hasa pale watoto wakianza kuiba pesa ili waje kucheza ps ndio vituko vinapoanziaga hapo.Biashara ni play station.
Kutona na malalamiko ya wazazi ikawa natakiwa kufungua saa 10 jioni ila kufunga saa nne usiku. Hii inapelekea uwe na muda mdogo wa kufanya kazi hivyo huwezi pata pesa.
Nikaongea na mjumbe kwamba nifungue saa 8 mchana nikakubaliwa. Nikakamatwa kwakua nimefungua saa nane mchana.
Nikaja kukamatwa kwakua nipo wazi saa tano usiku.
Nikaja kukamatwa kwakua watu wamekaa karibu karibu wakati kuna corona. Nikamuuliza jamaa mbona Rais anasema hakuna corona akanijibu usiwafuatishe wanasiasa.
Nikakamatwa kwakua play station inasabisha kelele.
Nikakamatwa kwakua nitasababisha watoto wasiende shule.
Kisha siku hiyo nimeweka pesa chini ya playstation chumbani (nyumba za kupanga za vyumba vinatazamana) nimetoka nje naenda dukani narudi pesa hakuna. Waliokuepo wakasema maaskari wa mtambani walikua wanakimbiza wavuta bangi wale wavuta bangi wakaingia upande wa nyumba niliyopanga so askari waliingia room kwa room kuangalia watuhumiwa.
Nikaenda mtambani nikaambiwa nirudi siku mbili mbele siku nimerudi nikaambiwa wananiweka ndani kwakua natunza wahalifu. Ama nibaki au nipotee.
Nikakamatwa kwakua wamekuta washukiwa wa uhalifu wanacheza game.
Nikakamatwa kwakua sina leseni na muda huo nina kitambulisho cha ujasiriamali. Ishu ni kwamba TRA hawatoi license kwa ishu kama hii nilivyoonyesha id ya mjasiriamali nikajibiwa hivyo ni vya wanasiasa.
Huko kukamatwa kote hamna siku nimeandikwa kwenye daftari lao lile. In fact wakikukamata wanakuambia hakikisha una simu ili uwape taarifa ndugu zako.
Hawa wazunguka doria wa usiku wakikukuta una pesa hawakuachi.
Now unajua kuna sehemu za PS zinafanya kazi 24/7 na hawakamatwi?dah, pole sana mkuu, biashara ya ps ukisoma mchanganuo wake inavutia sana lakini ukifungua sehemu yako yani ina changamoto sana hasa pale watoto wakianza kuiba pesa ili waje kucheza ps ndio vituko vinapoanziaga hapo.
Naskia Zanzibar ilipigwa marufuku kabisa
Mapolisi wasio na weledi wakiamua kuingia kwenye biashara zako huwa ni wakorofi sana na ni hatari sana.
Je uliwahi kukutana na usumbufu wao kwenye biashara yako.
Kuna muuza laptops flani yaliwahi kumkuta alipoanza kununua laptops kwa watu wanaohitaji kuziuza, siku ya siku akauziwa laptop iliyoibiwa, polisi wakaanza msako wakaikuta kwake, hakuwa na risiti ya hio laptop akashindwa kujitetea hata aliposema yeye kauziwa, kijana ilimtoka milioni 30 ili kujinasua, kiukweli alirudishwa nyuma sana na hii hali
Yani hao jamaa kuvaa hizo uniform ni kama wamepewa leseni ya kutenda uhalifuKuna baadhi ya polisi ni majambazi wanaovaa uniform .
Jeshi la polisi ondoeni huu uozo watumishi wenu wengi sio waadilifu
Nazionaga hizo sehemu zimekaa kwenye hadhi za juu sana na hata bei zao huwa juu, mziki upo kwenye hivi vituo vya mtaani vyenye hadhi za kawaida.Now unajua kuna sehemu za PS zinafanya kazi 24/7 na hawakamatwi?
Na wanajitangaza hadi IG.
πππBiashara ni play station.
Kutona na malalamiko ya wazazi ikawa natakiwa kufungua saa 10 jioni ila kufunga saa nne usiku. Hii inapelekea uwe na muda mdogo wa kufanya kazi hivyo huwezi pata pesa.
Nikaongea na mjumbe kwamba nifungue saa 8 mchana nikakubaliwa. Nikakamatwa kwakua nimefungua saa nane mchana.
Nikaja kukamatwa kwakua nipo wazi saa tano usiku.
Nikaja kukamatwa kwakua watu wamekaa karibu karibu wakati kuna corona. Nikamuuliza jamaa mbona Rais anasema hakuna corona akanijibu usiwafuatishe wanasiasa.
Nikakamatwa kwakua play station inasabisha kelele.
Nikakamatwa kwakua nitasababisha watoto wasiende shule.
Kisha siku hiyo nimeweka pesa chini ya playstation chumbani (nyumba za kupanga za vyumba vinatazamana) nimetoka nje naenda dukani narudi pesa hakuna. Waliokuepo wakasema maaskari wa mtambani walikua wanakimbiza wavuta bangi wale wavuta bangi wakaingia upande wa nyumba niliyopanga so askari waliingia room kwa room kuangalia watuhumiwa.
Nikaenda mtambani nikaambiwa nirudi siku mbili mbele siku nimerudi nikaambiwa wananiweka ndani kwakua natunza wahalifu. Ama nibaki au nipotee.
Nikakamatwa kwakua wamekuta washukiwa wa uhalifu wanacheza game.
Nikakamatwa kwakua sina leseni na muda huo nina kitambulisho cha ujasiriamali. Ishu ni kwamba TRA hawatoi license kwa ishu kama hii nilivyoonyesha id ya mjasiriamali nikajibiwa hivyo ni vya wanasiasa.
Huko kukamatwa kote hamna siku nimeandikwa kwenye daftari lao lile. In fact wakikukamata wanakuambia hakikisha una simu ili uwape taarifa ndugu zako.
Hawa wazunguka doria wa usiku wakikukuta una pesa hawakuachi.
Ni noma kuna jamaa marekani alikuwa ni kakiwanda ka kutengeneza sausage, walimsumbua akachoka akawala shaba wote 3 siku moja walipokuja mfungia kiwandaUnawajua ma Bibi afya weweee
Hao ni noma wanaweza wakala hata ukoko cafe kwako km huna rushwaNi noma kuna jamaa marekani alikuwa ni kakiwanda ka kutengeneza sausage, walimsumbua akachoka akawala shaba wote 3 siku moja walipokuja mfungia kiwanda
Ha haHao ni noma wanaweza wakala hata ukoko cafe kwako km huna rushwa