Je, umeweka vitu gani juu ya meza yako ya kulia chakula (dining table)?

Duhh kweli tunatofautiana

cha kupangia sahani kwenye sink jikoni kipo dinning table?..

for me mezani kuna
Kitambaa plain then table runner katikati na plate mats
Then vase ya ua katikati na kitray kidogo kwa ajili ya toothpick,chumvi sukari nk
Jagi la maji na glass moja inategemea na wakati

Mda mwingi meza iko free hadi mda wa chakula tu
 
My Idea of a dinning table muda ambao si wa chakula



I love simplicity..but classic
Ila pia sipendi mapambo yakizidi kama hivi
 
Jikoni kwangu Kwenye sink hakuna kitu zaidi ya kuweka vyombo vilivyotoka kuliwa katikati ya sink, juu ya sink pako plain..
Kila mmoja na mpangilio wake



Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vikishaoshwa vinafutwa na kupangwa kwenye vikabati mbali mbali kulingana na dizain ya vyombo mahotpot na kikabati chake. .sahani za udongo kwake n.k
Kwa dizain ya nyumba yangu ilivo hivo vikabati vipo jikoni nyumba kubwa ukutani kwa juu fulani

Japo muda wa Kula mara nyingi ndio hutoa sahani n.k na kuweka kwenye hako kadude ambacho kwangu muda wote kinakua hapo na vikopo kopo vya chumvi blueband n.k kama ulivoona.


Cc Smart911
Ni kweli kabisa

ukisuuza vyombo unaviweka wapi ili vikauke kwanza?,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio familia zote zinakutanika mda wa kula mama anakula saa saba watoto wanatoka shule saa tisa baba anarudi saa 12 sio kila mmoja akija anaanza kukimbizana nama bakuli njia nzuri nikuweka mezani kila mtu kwa mda wake akija anajisevia iko hivyo ila inatrgemeana na sebule yako umeipangaje usije weka ivyo vitu kwenye meza yako uloiweka katikati ya sebule na makochi
 
Oh okay...

mie nikiosha naviweka hapo kwanza vikauke
Ndo mana nlistaajabu kidogo kuona kifaa hicho kiko dining table
 
Oh okay...

mie nikiosha naviweka hapo kwanza vikauke
Ndo mana nlistaajabu kidogo kuona kifaa hicho kiko dining table
Kwenye hako kadude Vinatosha kweli mamy au familia yako ni ndogo ya watu wawili watatu? Au kwenye sink umevipanga zaidi ya kimoja? ?mimi naoishi nao kilasiku ni ndugu wengi yani watoto wakiosha vyombo mama ntilie akasome!
Ila nimeona hapo wajumbe wengi wameshauri meza ya dinning kuwa na kitambaa na ua tu pia ni vizuri

Cc Smart911. .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ofcz tuko wachache
Vikiwa vingi nakisogeza pembeni kwenye counter ili niweke vingine juu ya sink
 
Ooh. Hii nayo ni point Mkuu. 🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…