Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nimejiuuliza zilipo kanuni za kusimamia uchaguzi wa serikali za mtaa. Nimezisaka mitandaoni na kwenye gazeti la serikali zijaziona.
Lakini Mzee Lipumba na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi wanasema kanuni zipo tayari. Mwana CCM mwenzangu umeziona kanuni hizi mpya za uchaguzi? Nani amezitunga? Je uchaguzi utasimamiwa na Mkurugenzi wa Halmashauri au Tume ya uchaguzi?
====
Pia soma: Rasimu ya Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Mtaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa Katika Mamlaka za Miji za Mwaka 2024