Pre GE2025 Je, umeziona na kuzisoma Kanuni mpya za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Nimejiuuliza zilipo kanuni za kusimamia uchaguzi wa serikali za mtaa. Nimezisaka mitandaoni na kwenye gazeti la serikali zijaziona.

Lakini Mzee Lipumba na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi wanasema kanuni zipo tayari. Mwana CCM mwenzangu umeziona kanuni hizi mpya za uchaguzi? Nani amezitunga? Je uchaguzi utasimamiwa na Mkurugenzi wa Halmashauri au Tume ya uchaguzi?

====

Pia soma: Rasimu ya Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Mtaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa Katika Mamlaka za Miji za Mwaka 2024
 
Hapana. Kinachosemwa ni kwamba kanuni tayari zimeandalwa lkn bado hazijatangazwa.
 
Ccm wanaogopa uchaguzi

Wanavizia viziia ili wachomeke mambo yao maovu

Mitihani ni zile 4R alizoahidi mama Abdul zitatimizwa?

Je akizitimiza ccm itaendelea kusivive?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…