JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Uhuru wa kushirikiana ni uwezo wa watu kuunda Vyama au Umoja mfano Umoja wa Waendesha Mabasi, Umoja wa Waendesha Bodaboda, Umoja wa Mama Lishe, Umoja wa Machinga, Vyama vya Wafanyakazi na vinginevyo kwa lengo la kusaidiana kwenye mambo mbalimbali.
Vyama hivi vinapaswa kuwa na Katiba itayotumika kufanya maamuzi ya mambo yahusuyo Chama husika.
Aidha vyama hivi vinapaswa kunufaisha wahusika wote yaani viongozi na wanachama wa kawaida.
Upvote
0